FT: France 2-0 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Julai 9, 2026 | 5:00 Usiku | Morocco kazi imeshia hapa

Morocco to qualify 😁leo Morocco atacheza kufa na kupona nadhani ndiyo team pepee ya africa itakayo fika mbali.
 
Timu zote mbili, Ufaransa na Morocco, zimeonyesha ubora wa hali ya juu na zina wachezaji wenye vipaji vya ajabu. Ufaransa wamekuwa na safari nzuri na safu yao ya ushambuliaji ni hatari, lakini Morocco wametushangaza wengi kwa jinsi walivyopambana na kuonyesha uwezo mkubwa. Ni timu inayoweza kufanya lolote uwanjani na wana ari ya hali ya juu.

Bila shaka itakuwa mechi ngumu na ya kuvutia sana kutazama. Kila la heri kwa timu zote mbili! Tusubiri tuone nani ataibuka mshindi, lakini muhimu zaidi ni kufurahia burudani safi ya soka kutoka kwa wachezaji hawa mahiri. Tuweke utabiri wetu pembeni na tufurahie mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…