FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

Mimi sina sababu ya kukudanganya kama mpira nimecheza japo sikufika level za ligi kuu ila nishacheza ngazi ya mkoa... ndio maana najiamini kuwa naujua mpira
Yani ngazi ya mkoa uje utuambie unaujua mpira king'asti wewe.

Mkoa? Ama kweli wewe raha leo watu wamecheza mpaka ligi kuu na wala hawasemi waujua mpira
Mimi binafsi nimeshakuwa mchezaji bora mwaka 2009 UMISETA mkoa wa Mwanza sasa google nani alikuwa mchezaji bora unifahamu bwana mdogo
 
Wewe haujawahi kucheza mpira binti ushajipachika tayari
 
Halafu unakuta unayemtukana ni Mwl wako wa michezo sasa 😂😂😂
 
Ligi yetu bado sana kuvisaidia hivi vilabu vya Simba na Yanga kuwa competitive kimataifa, zinazifanya kuwa timu kubwa na za kutisha zikiwa zinacheza ligi za ndani ila huko international ndiyo tunaona panapovuja

Anyway hongera kwa kupata sare ugenini
 
Wewe ndo Thomas Emmanuel.?

Yule aliyekywa anakimbiza ball la maajabu pale Butimba.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…