FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

Huyu kocha kwa mbinu hizi kimataifa hatoboi🚮🚮
Timu zitakuwa zinapaki bus na kumuua kwenye kaunta na mabeki wake kina Mwamnyeto😄🙌
Kaweka mabeki watatu washambuliaji wengi na hawakai na mpira..
 
FT
Gaborone 1 - 1 Young Africans
 
Hawa Gaborone wasingepoteza muda angalau wangepata ushindi mwembamba, ushamba wa kupoteza muda umewaumiza.
 
Back
Top Bottom