Umewahi kucheza mpira?Hawa Yanga viwango vya kawaida sana,, ndio muamini sasa kuwa kwenye ligi huwa wanashinda kwa njia zao, ujanja ujanja tu,,
Kwamba wewe umecheza nini unataka kutudanganya hapa kobelo wewe mnuka n'yaUmewahi kucheza mpira?
Ikiisha hivi ni hasara kwao watswana maana bongo watapigika sanaaDakika 79
1-0
Hii inaeza isha hivi
Tatizo wanacheza ligi dhaifuHii yanga ya kimataifa mbona kama ya bei ya jioni.