FT: Gaborone United 1-1 Young Africans SC | CAFCL-1st Leg | Botswana National Stadium | 05-09-2026

Ligi yetu bado sana kuvisaidia hivi vilabu vya Simba na Yanga kuwa competitive kimataifa, zinazifanya kuwa timu kubwa na za kutisha zikiwa zinacheza ligi za ndani ila huko international ndiyo tunaona panapovuja

Anyway hongera kwa kupata sare ugenini
Timu inayocheza mbinu ya low block kuifunga inatakiwa ufanye kazi ya ziada haswa. Timu nyingi pamoja na ubora wao huwa zina angaika kuzifunga timu inayocheza low block. Binafsi bado najipa muda, ila ukuta wa Bacca na Mwamnyeto naona wana makosa binafsi mengi sana.
 
1000062673.jpg
 
Duuh kazi ipo
Timu inayocheza mbinu ya low block kuifunga inatakiwa ufanye kazi ya ziada haswa. Timu nyingi pamoja na ubora wao huwa zina angaika kuzifunga timu inayocheza low block. Binafsi bado najipa muda, ila ukuta wa Bacca na Mwamnyeto naona wana makosa binafsi mengi sana.
Mwamnyeto sio wa kumwamini sana ndie anaemaliza harafu Bacca akipanda mtihani akirudi kukaba kwa kasi anasababisha faulo maeneo ya hatari.
 
Back
Top Bottom