DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Yanga wamekalia rungu... umesogezwa mkia pembeni limechomekwa rungu.
LiniYanga atafanya comeback moja ya kibabe tulieni muone
Umeona game hao jamaa ni nguvu sana na wanazuia wengi labda kocha abadili mfumo akiingia tena mfumo wa kipindi cha kwanza mechi itaendelea kuwa ngumu..NImekuelewa tajiri Muda utaongea
Yanga wamekalia rungu... umesogezwa mkia pembeni limechomekwa rungu.
Yanga inashinda 2 kwa sifuri, ugenini kama nyumbani
Washabiki wa porini wa mpira wengine wanagombana wengine wanatukana kama hivyo..Mkuu punguza ukali wa maneno.
Wamepata 1Hivi Yanga wanepata On target hata moja?
Safi sana, hata shabiki namba moja WA yanga mama Samia anaunga mkono kauli yako mkuuKila la heri timu ya Wananchi
Young Africans 💛💚💪
Hii ina stuck stuck sana na kwa nchi niliyopo hadi nitumie VPN nimesha VPN ila ina stuck hata si enjoy mpiraFawaNews - Your Home of Sport
Fawanews Latest sports and football news , English Premier League , Boxing , Formule 1 , Moto GP , NBA and be sure to explore more on fawanews nowwww.fawanews.sc