Kwa hiyo kiwanja kinawapa tabu wamezoea kale ka pale kmcClub bingwa hii mkuu.
Hapa sio KMCcc
Kwa hiyo kiwanja kinawapa tabu wamezoea kale ka pale kmcClub bingwa hii mkuu.
Hapa sio KMCcc
Aisee hatari sii mchezoNaona hivyo
Ukweli ndo ulivo mkuu,.....Mkuu punguza ukali wa maneno.
Ukweli ndo ulivo mkuu,.....
Wamepigwa kimoja cha nguruwe....wanasikilizia utamu kumoyo
Huko kuna bonanza tu, mechi itakuwa dar/ungujaUmeona game hao jamaa ni nguvu sana na wanazuia wengi labda kocha abadili mfumo akiingia tena mfumo wa kipindi cha kwanza mechi itaendelea kuwa ngumu..
Ulitaka wafanye nn mkuu? Wawambie washabikinwao wavae jezi waingie barabarani? Maana sikuona sehemu yoyote hizo club zimetoa tamko la kuwakataza watu wafanye wanachotaka?Tangu Mo29 ninafurahi sana yake matakataka mawili ya Kariakoo yakifungwa.
Yalifanya usaliti mkubwa na ni matawi ya CCM kwa kivuli cha burudani.
Mkuu, kwa hiyo unataka kusema wameingiziwa mwiko hapo nyuma.....wanaukatikia tu....Huo nyuma ni mwiko sio rungu wakuu. Mnyonge mnyongeni.
Mkuu, kwa hiyo unataka kusema wameingiziwa mwiko hapo nyuma.....wanaukatikia tu....
Utopolo, hao sio KMC
Tayari. Utabiri wako unweza kutimia. Hata hivyo wanaweza kurudisha, muda bado upo wa kutoshaNa atagongwa kimoja cha nguruwe 😅
Wametolewa bikra kizembeSwadakta. Watoto wa mama hao lazima waukatikie.