FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

Tulipata aibu mara moja hatuwezi kupata mara sijui hamelewi?
 
Kwenye mechi nne walizocheza mechi 3 Yanga ilifunga goli moja moja na mechi ya mwisho Yanga ikishinda 3-1.

Kwa ivo ingawa Yanga imeshaifunga Geita mara 4 Lakini idadi ya magoli siyo kubwa.

Kwa maana nyingine Geita siyo timu ya kudharauliwa moja kwa moja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…