Mnawacheka taifa stars
GUINEA hamuwaoni ujinga wanaofanya
Kocha hajafanya mabadiliko kipindi cha pili?
Ooh sijui kama tutatoboaHajafanya.
Wachezaji hamna. Unawaona wazuri wakiwa wanacheza dhidi ya vilaza.Wachezaji wanavyocheza kwenye clubs zao ni tofauti sana na wanavyocheza hapa.
Labda tatizo ni kocha sijui, ila inafikirisha sana. Mzize wa Yanga, Fei toto wa Azam ni watu tofauti kabisa.
Tusubiri muujiza
Sasa hata siangalii itakuwajee...ππAkifunga wa kwetu unishtueπ
Ooh sijui kama tutatoboa
KimojaTaifa stars wapigwe tu kipigo cha aibu
Tatizo ππSasa hata siangalii itakuwajee...ππ