FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Wachezaji wanavyocheza kwenye clubs zao ni tofauti sana na wanavyocheza hapa.

Labda tatizo ni kocha sijui, ila inafikirisha sana. Mzize wa Yanga, Fei toto wa Azam ni watu tofauti kabisa.

Tusubiri muujiza
Wachezaji hamna. Unawaona wazuri wakiwa wanacheza dhidi ya vilaza.
 
Alietengewa nafasi akatoa mpira ni nani watu wamrhangaika na pass afu mtu katoa nje
 
Back
Top Bottom