econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mnawacheka taifa stars
GUINEA hamuwaoni ujinga wanaofanya
Yani Guinea ndio majanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnawacheka taifa stars
GUINEA hamuwaoni ujinga wanaofanya
Kocha hajafanya mabadiliko kipindi cha pili?
Ooh sijui kama tutatoboaHajafanya.
Wachezaji hamna. Unawaona wazuri wakiwa wanacheza dhidi ya vilaza.Wachezaji wanavyocheza kwenye clubs zao ni tofauti sana na wanavyocheza hapa.
Labda tatizo ni kocha sijui, ila inafikirisha sana. Mzize wa Yanga, Fei toto wa Azam ni watu tofauti kabisa.
Tusubiri muujiza
Sasa hata siangalii itakuwajee...😃😃Akifunga wa kwetu unishtue😆
Ooh sijui kama tutatoboa
KimojaTaifa stars wapigwe tu kipigo cha aibu
Tatizo 😁😁Sasa hata siangalii itakuwajee...😃😃