FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Hua nataman ipigwe Sana yan, maana ikishinda badala machawa waongee mpira wanamtukuza mama kizimkazi, inageuka kua timu ya CCM

Kiukweli Leo sitalala usingiz imeshinda moja ya timu NINAZOZICHUKIA zaidi hapa duniani
kinachoniuma mimi watu wataacha kwa muda kuongelea maswala ya muhimu yanayoendelea nchi kesho
siku nzima ni uchambuzi tu kila kona ya social media hapa tz

naunga mkono hoja yako kwa 100%
 
Tunawaandama sana washambuliaji wetu na hasa Mzize. Lakini kijana anafanya mambo mengi makubwa uwanjani ambayo mshabiki kama wewe huwezi kuona. Pia fuatilia timu za Taifa kwenye hizi mechi hao mastraika wa Ulaya wanambwela tuu. Tuwatie moyo hawa akina Balua, Mzize, Salim watafika mbali wana kitu.
 
kinachoniuma mimi watu wataacha kwa muda kuongelea maswala ya muhimu yanayoendelea nchi kesho
siku nzima ni uchambuzi tu kila kona ya social media hapa tz

naunga mkono hoja yako kwa 100%
Vitu serious havipewi airtime, kesho wataanza kumsifia kizimkazi kua kawekeza kwenye michezo
 
Pamoja na kushinda ila wana ya kurekebisha, wakikutana na timu iliyo smart kidogo tunapigwa sana
Kutojiamini ni kwako. Be positive. Timu ya taifa ni nzuri na mpaka sasa imeonyesha uwezo na itasonga mbele.
 
Kumbe nyanda wa Simba Camara hajapangwa leo. Nilishangaa hao kina Mudathir wamefungaje fungaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…