FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Tunapaswa kuwashukuru sana Wachezaji wa Timu ya Yanga kwa kucheza kwa uzalendo na kuzuia kufungwa kwa Timu ya Taifa

Hakika Mabeki wa Taifa Stars yaani Bakka, Mwamnyeto na Dickson Job wamefanya kazi kubwa sana
 
Unampaisha Manara...! Huko aliko sasa hivi anacheka kwa Comments kama hizi...! Anasema kumbe hii mijitu ya Yanga mizuzu kweli..!
 
Back
Top Bottom