Jifunze kuwa shabiki halisi wa mpira na si shabiki mihemuko. Unaona kabisa Boko alivyoleta uhai mbele na kuwafanya mabeki wa horoya wabaki nyuma. Timu imecheza vzr hasa kipindi cha pili. Tusilaumu sana wachezaji tunapofungwa.Mhhh striker mwenye Bocco, bora tisa angesimama Phiri.
Kwa huu uchezaji wetu, swala la kumpiga Vipers nje ndani linaweza kuwa gumu kuliko jinsi ulivyolirahisisha hapa.Sasa Hesabu zibaki hivi.
Tu draw na Raja kwa Mkapa watufunge kwako point 1
Tumfunge Horoya Kwa Mkapa 3
Huyu vipers tumpike nje ndani 6
Jumla 10.
Haya ni maswali ambayo huwa mnayauliza kila msimu.Mtamfunga nani sasa?
Umeongea vizuri sana mdau...Jifunze kuwa shabiki halisi wa mpira na si shabiki mihemuko. Unaona kabisa Boko alivyoleta uhai mbele na kuwafanya mabeki wa horoya wabaki nyuma. Timu imecheza vzr hasa kipindi cha pili. Tusilaumu sana wachezaji tunapofungwa.
Uhai kaleta ila kakosa ngapi?Jifunze kuwa shabiki halisi wa mpira na si shabiki mihemuko. Unaona kabisa Boko alivyoleta uhai mbele na kuwafanya mabeki wa horoya wabaki nyuma. Timu imecheza vzr hasa kipindi cha pili. Tusilaumu sana wachezaji tunapofungwa.
Yes, mimi binafsi huwa napenda kushuhudia kwa macho yangu mwenyewe, thimba akiteseka!Yako yamekushinda unahangaika na mambo ya wengine [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli mtaongoza kwa timu yenu iyo iliyojaa wazee, kwenye hili kundi Raja casablanca ataendeleza vichapo sana maana ndiyo timu ninayoona iko vizuri lakini zilizobaki ni nyambore tuKila kitu kimefanyika perfect ila haikuwa siku nzuri tu. Hili kundi tutaongoza!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hata itokee bahati mbaya sana tukafungwa, bado wa kutunyooshea kidole hatokuwepo.Sasa ole wenu Mwananchi ashinde kesho
Uto Wanadhani watachukuliwa poa kama Kipanga kama ilivyokuwa wakati ule. ...Kuna timu iandae kapu la magoli kesho
Kwenye mechi hii Boko Hana baya.Jifunze kuwa shabiki halisi wa mpira na si shabiki mihemuko. Unaona kabisa Boko alivyoleta uhai mbele na kuwafanya mabeki wa horoya wabaki nyuma. Timu imecheza vzr hasa kipindi cha pili. Tusilaumu sana wachezaji tunapofungwa.
Nani asietaka kushuhudia mbumbumbu wakiteseka?Ila twendeni guinea turudi Tunisia mechi ya Simba huvutiaga sana ...yani pipo are so machi interestedi oni iti
Si hoja sana hii. Pressure ya kuwa ugenini ni kubwa.Uhai kaleta ila kakosa ngapi?
HahahahaaaaaaaaKhee uzi unaenda one K huu kisa masimango
Hahaha tutakua tumeenda wapi?Hata itokee bahati mbaya sana tukafungwa, bado wa kutunyooshea kidole hatokuwepo.