Ni kawaida sana nyuzi za Simba Sc kuwa saturated kiasi hiki (hata wewe unajua), sisi tumefungwa lakini bado tupo hapa.Kesho tutahakikisha uzi wa Utopolo unafikia 2k kwa vicheko vyetu yani mtalouwaaa
Simba wamechana mkekaNi kawaida sana nyuzi za Simba Sc kuwa saturated kiasi hiki (hata wewe unajua), sisi tumefungwa lakini bado tupo hapa.
Kwenye uzi wa Yanga kama watafungwa basi hautawaona, ni waoga sana hawa mbwiga[emoji1].
Huwa wanavizia tu, wakifunga ndo wanatoka mafichoni.
BEsty inamaana hujui au umekuja kunichoraHello dear, matokeo yakoje kwani π
Sikuwa najua kama huyo jamaa (Dr Matola PhD ) ndiye Khamis Taletale[emoji23][emoji23].Khee kumbe ni ww mwenye phd?
Ukute ww ni Msukuma yule wa Geita Mb
Hata Kibu mnasemaga hivyo ila si umeona alivyoleta uhai kule mbele. Hawa twins bongo zao huwa zinazima tu kwa mudaKyombo ni specialist wetu wa friend games tu, mechi za ushindani utamtafuta Ubaya tu bure, haziwezi.
Aseee nilidhani mmemlaza mtu, kama kawaida yenu mpira ni mdomoni tu uwanjani hamna kituBEsty inamaana hujui au umekuja kunichora
Moya kwa sufuri
Hyo Raja mnavyoiogopa au mnaogopa hilo jina mnaona lipo kama bara la america?? Hao tutawafumua kwao na kwetu...subirini muone...kuna watu wanatisha kama.Alhaily??? TuliwabamizaNaona msimamo wa kundi kwa mechi za meisho ukisomeka hivi:
1. Raja Casablanca 15
2. Horoya. 13
3.Vipers. 7
4. Simba. 4
Ukibisha njoo nimekaa pale
.
Kesho tuiwekee Yanga Sc, au sio?[emoji1]Simba wamechana mkeka
Sema neno lingine hilo tushazoea...ila walee twarukaa mdogo mdogoAseee nilidhani mmemlaza mtu, kama kawaida yenu mpira ni mdomoni tu uwanjani hamna kitu
Raja hata ajipindue vipi, kwenye jua la Lupaso ni lazima aache points.Hyo Raja mnavyoiogopa au mnaogopa hilo jina mnaona lipo kama bara la america?? Hao tutawafumua kwao na kwetu...subirini muone...kuna watu wanatisha kama.Alhaily??? Tuliwabamiza
Hyo uhakika mkuuRaja hata ajipindue vipi, kwenye jua la Lupaso ni lazima aache points.
Labda hiyo timu ipo kijijini kwenuHyo Raja mnavyoiogopa au mnaogopa hilo jina mnaona lipo kama bara la america?? Hao tutawafumua kwao na kwetu...subirini muone...kuna watu wanatisha kama.Alhaily??? Tuliwabamiza
Ninyi si huwa mnaanzisha vinyuzi vyenu vya kijinga jinga kuwatabiria Yanga FC mabaya?Uto wenzako wanaojua kusoma alama za nyakati wametulia
Hawayajui ya kesho na hawana hakika kama furaha ya leo inaweza ikadumu masaa 24
Wenzako wameku-overstep kwenye hili
huyu alifananishwa na HALLANDHuyu Baleke ni sifuri kabisa usajili mbovu kabisa
Kitaaluma unatakiwa kuandika PhD na siyo phd.Jamani si nimeandika tuu kwa herufi ndogo dokta
Weee sema kweli kumbe kazi ya kujitabiria unaiweza sana π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ ikapinduka0-1
Nguvu Moja
Haya heshima yako mkuuKitaaluma unatakiwa kuandika PhD na siyo phd.
Wanataluuma tumekaa kimya muda mrefu Sasa tunavunja ukimya.