FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Kesho tutahakikisha uzi wa Utopolo unafikia 2k kwa vicheko vyetu yani mtalouwaaa
Ni kawaida sana nyuzi za Simba Sc kuwa saturated kiasi hiki (hata wewe unajua), sisi tumefungwa lakini bado tupo hapa.

Kwenye uzi wa Yanga kama watafungwa basi hautawaona, ni waoga sana hawa mbwiga[emoji1].

Huwa wanavizia tu, wakifunga ndo wanatoka mafichoni.
 
Simba wamechana mkeka
 
Naona msimamo wa kundi kwa mechi za meisho ukisomeka hivi:
1. Raja Casablanca 15
2. Horoya. 13
3.Vipers. 7
4. Simba. 4
Ukibisha njoo nimekaa pale
.
Hyo Raja mnavyoiogopa au mnaogopa hilo jina mnaona lipo kama bara la america?? Hao tutawafumua kwao na kwetu...subirini muone...kuna watu wanatisha kama.Alhaily??? Tuliwabamiza
 
Jaman
20230211_212946.jpg
 
Hyo Raja mnavyoiogopa au mnaogopa hilo jina mnaona lipo kama bara la america?? Hao tutawafumua kwao na kwetu...subirini muone...kuna watu wanatisha kama.Alhaily??? Tuliwabamiza
Raja hata ajipindue vipi, kwenye jua la Lupaso ni lazima aache points.
 
Hyo Raja mnavyoiogopa au mnaogopa hilo jina mnaona lipo kama bara la america?? Hao tutawafumua kwao na kwetu...subirini muone...kuna watu wanatisha kama.Alhaily??? Tuliwabamiza
Labda hiyo timu ipo kijijini kwenu
 
Uto wenzako wanaojua kusoma alama za nyakati wametulia

Hawayajui ya kesho na hawana hakika kama furaha ya leo inaweza ikadumu masaa 24

Wenzako wameku-overstep kwenye hili
Ninyi si huwa mnaanzisha vinyuzi vyenu vya kijinga jinga kuwatabiria Yanga FC mabaya?

Unajitoa ufahamu kwamba hata humu JF tayari mlishaanza kuwa Manabii uchwara wa kuwatabiria Yanga FC mabaya ilihali yenu mlijitoa ufahamu? [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom