FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Ila huyu mwamuzi kwa kumuangalia mechi hizi mbili zilizopita nadhani TFF wamuangalie upya. Yaani wachezaji wa timu mbili wanavutana mashati, yeye anasogea pembeni anaweka mikono nyuma anasubiri zari liishe. Hivyo ndiyo refa anatakiwa afanye kwenye situation kama hizo?
 
Kabla ya acrobatic mpira ulishazama wavuni

Uligonga nguzo ukazama ndani na kutoka nje
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…