joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Anyway ngoja wapate afueni kwa hii drawTena?
Simba ni dude kubwaaBenchika yaani kimoyoyo anajuta kuja Kolo FC,bora angebakia kwao afundishe hata timu zinazo cheza cha ndimu
FTDakika ya ngapi huko
Dah Simba wanashangilia draw
Benchika anahitaji wachezaji Wazuri tu Ili kujijenga upya Simba, jambo linalowezekana wenye timu wakiamua.Benchika yaani kimoyoyo anajuta kuja Kolo FC,bora angebakia kwao afundishe hata timu zinazo cheza cha ndimu
Nayo sio mbaya ikishindikana kuwagongaInamaana Ihefu wanataka droo.
πππ
Kabisa mkuu, jamaa hana furaha.Benchika yaani kimoyoyo anajuta kuja Kolo FC,bora angebakia kwao afundishe hata timu zinazo cheza cha ndimu