Tarehe 20 Tunawanyoosha Inakuwa 9 Clearance
Hawa wanapata nafasi ya kucheza shirikisho, huku club bingwa msimu ujao watuachie sisi wenye mipango yetuHii nafasi ya 3 Simba ndo atamaliza nayo.
Ni Zaidi mkono mkuu,kwa jinsi simba ilivyo choka.Tarehe 20 kuna possibility ya kupigwa mtu mkono tena.
Mtunzi wetu wewe ni simba? Ndio sababu siku hizi unachelewesha story π π πHatumtaki Mangungu
Wanasikitika Kwanini Azam Alishinda Mbele Ya Young AfricansSi alifurahi Azam kumfunga Yanga. Tulimuonya akaleta za kuleta.
Wanayotuwasibiri Tar 20 Labda Wasilete Timu Uwanjani π
Tulichofanikiwa msimu huu ni kuongeza Hashtag #MimiNiSimba [emoji18][emoji18]Timu Inacheza Mtandaoni Siku Hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio Mategemeo Yao Hayo Wakati Tulikubaliana Kila Mtu Ashinde Mechi ZakeEti Singida wamfunge Yangaπππ
Kwenye Kikao Itakuwepo Moja Ya Mafanikio Ya Simba Sport ClubTulichofanikiwa msimu huu ni kuongeza Hashtag #MimiNiSimba [emoji18][emoji18]
Leta Timu Mkuu Tunakusubiri Nakukumbusha Young Africans Ndio Atakuwa NyumbaniUtopolo atakufa...!
Hakika mmelogwa!
Kwani Azam haijawafunga kweli?Si alifurahi Azam kumfunga Yanga. Tulimuonya akaleta za kuleta.