FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Simba Haina kocha kipindi kigumu kama hiki unahitaji kocha kama Zahera mwenye kujua kuamsha hali ya wachezaji
 
Subiria vilio leo ni kipigo bila matuta
Wakirudi Ihefu watajilinda ndio tutawapasulia hapo hapo.

Sio rahisi washikilie Bomba kwa Dk 45 na nyongeza 5. almost 50'.
Haliwezekani kabisa yani!!
 
Back
Top Bottom