Hawalipwi mishahara ya bure. Hao akina Kibwana na Mauya na Skudu wenyewe huwa wanakuwa wapi wakati wenzao akina Aziz Ki, Mzize, Pacome na wengineo wanapambana kuongeza viwango?Aahaaaaa
Shida ni kwamba humuoni akipanda na hta hapo nyuma kwenye upande wake haonekani pia. Sijui anacheza wapiKibwana hajapiga cross hata 1 hadi sasa na simuoni kabisa akipanda.
Tutafungwa goli linguine kama wakiendelea haoHawalipwi mishahara ya bure. Hao akina Kibwana na Mauya na Skudu wenyewe huwa wanakuwa wapi wakati wenzao akina Aziz Ki, Mzize, Pacome na wengineo wanapambana kuongeza viwango?
Hao either walete matokeo au waanze kufungasha virago.
Mimi sishauri kocha awabadilishe, bali awaache hao hao
Upi huoNa ule mkeka wako vp
Binafsi sikukielewa tunajua huenda kocha anataka kulinda vipaji vyao lakini wangeanzia subHiki kikosi hata mimi nilikitilia mashaka tangu mwanzo. Ili tupate ushindi; Skudu, Sure Boy, Moloko, Kibwana, na Mauya wanatakiwa wapumzishwe. Hakijabalance kabisa.
Lilikuwa shambulizi baya sana aisee. Papara za yule mchezaji ndo zimemponza.Mwenyewe nilishajiandaa kuzima data
Kwa hiyo dhana ya Yanga kuwa na kikosi kipana tuifute?Tutafungwa goli linguine kama wakiendelea hao
Kichwa kipi mkuu maana nina viwili
Kibwana ameshindwa kabisa kupandisha timu. Skudu anaruka ruka tu. Hakuna anachokifanya kwa kipindi chote cha kwanza.Ukitoa Sure boy na Moloko hao wengine unawaonea sija ona kosa
NaUnga mkono hoja ππMi naona Gamondi kawachezea trick na wenyewe wamejaa.... Kumbuka kawaweka hao makusudi Tu ili wachoshane Ila kipindi cha pili game itakua rahisi Sana...
Bora tufungwe ili tujue mapema list yetu ya drops out, siyo watu wanakuja kuachwa inaonekana wameonewa.Tutafungwa goli linguine kama wakiendelea hao
Mnajifariji sio ?NaUnga mkono hoja [emoji106][emoji122]
Baadae usije kukimbia hapaMnajifariji sio ?
[emoji23][emoji23] bado hujasemaHakuna mabadiliko kwa timu zote[emoji119][emoji119]
Hii mechi haikuwa sahihi kwa kocha kuanza na wachezaji wa kikosi cha pili. Ni mechi yenye presha kubwa kwa Yanga. Maana mwaka wa jana tulifungwa kwenye huu uwanja.Binafsi sikukielewa tunajua huenda kocha anataka kulinda vipaji vyao lakini wangeanzia sub
Ikolozee,Huwa haifutiki hiyoKwa hiyo dhana ya Yanga kuwa na kikosi kipana tuifute?
πππ Kwa kweeeliKula tunda kimasikhara [emoji16]