FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Hawalipwi mishahara ya bure. Hao akina Kibwana na Mauya na Skudu wenyewe huwa wanakuwa wapi wakati wenzao akina Aziz Ki, Mzize, Pacome na wengineo wanapambana kuongeza viwango?
Hao either walete matokeo au waanze kufungasha virago.
Mimi sishauri kocha awabadilishe, bali awaache hao hao
 
Tutafungwa goli linguine kama wakiendelea hao
 
Hiki kikosi hata mimi nilikitilia mashaka tangu mwanzo. Ili tupate ushindi; Skudu, Sure Boy, Moloko, Kibwana, na Mauya wanatakiwa wapumzishwe. Hakijabalance kabisa.
Binafsi sikukielewa tunajua huenda kocha anataka kulinda vipaji vyao lakini wangeanzia sub
 
Mwenyewe nilishajiandaa kuzima data
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Lilikuwa shambulizi baya sana aisee. Papara za yule mchezaji ndo zimemponza.
 
Back
Top Bottom