Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Kipa wa Yanga 😂Nani yupo golini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa wa Yanga 😂Nani yupo golini?
Pole ndugu yangu Utopolo.Kile kikosi nilikitilia mashaka tangi mwanzo. Kilikuwa siyo kikosi cha ushindi. Na ukilinganisha na aina ya mchezo wenyewe, alitakiwa aanze na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahahahah
Hela yake inarudi,Kuna rafiki yangu kaweka 5,000,000. Yanga ishindeee dahh sijui ana halii gani mda huu...
Wanachelewesha muda😂😂🤣ðŸ˜Hahahahahahahah
Sio masihara wewe, yanga inavikosi hata ikiamua kucheza mechi mbili siku moja haishindwi, kikosi kipana mzeeKocha anahusika moja kwa moja na haya matokeo. Na kama akiendelea na haya masihara yake, mashabiki watamgeuka.
kwa dak zipi zilizobakHela yake inarudi,
Ihefu nidhani imepunguaa
Kile kikosi nilikitilia mashaka tangi mwanzo. Kilikuwa siyo kikosi cha ushindi. Na ukilinganisha na aina ya mchezo wenyewe, alitakiwa aanze na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.
Nineishiwa nipo nalia ðŸ˜Bado nguvu ya kutukana unayo mkuu?
6Waungwana zimebaki ngapi huko?