FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Kile kikosi nilikitilia mashaka tangi mwanzo. Kilikuwa siyo kikosi cha ushindi. Na ukilinganisha na aina ya mchezo wenyewe, alitakiwa aanze na wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.

Hadi mseme leo, bado siku ya mnyama ndo mtasema chura nyie.
 
Back
Top Bottom