Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Aahaaaaa,pole mkuuMpira Laana aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahaaaaa,pole mkuuMpira Laana aisee.
Lol.Waambie hao....
Well notedNitamshangaa atakaeleta upuuzi wa kuanza kulaumu Kocha.
Hao wachezaji wana wajibika kuleta matokeo. Hii mechi kupoteza italeta pia heshima na itamuondoa kocha kwenye lawama pindi akianza kuwasugulisha watu benchi.
nimecheka sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Yani Yanga wakiiona Ihefu mate yanajaa mdomoni
Ni sehemu ya mchezo na kujifunza pale unapofungwa muhimu, isiwe kama mazoea.Nitamshangaa atakaeleta upuuzi wa kuanza kulaumu Kocha.
Hao wachezaji wana wajibika kuleta matokeo. Hii mechi kupoteza italeta pia heshima na itamuondoa kocha kwenye lawama pindi akianza kuwasugulisha watu benchi.
Tatizo bei tuliyowatajia bado hawajaafiki ndiyo wanashaurianaMuda wowote muamala ukisoma Yanga lazima tupate goli la kusawazisha na kuongeza la ushindi
Kocha anahusika na haya matokeo kwa 100%.Hapana, kocha si wa kulaumiwa.
Ushaona shabiki wa Simba anakimbia?? Hahaha pole sana braza Uto...Afadhali matokeo yabaki hivi Makolo yarudi jukwaani maana walielekea kukimbia Jf mazima.
Wanasema kikosi kilichoanza siyo[emoji1787][emoji1787]Bado hawajaanza mkuu