FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Nitamshangaa atakaeleta upuuzi wa kuanza kulaumu Kocha.
Hao wachezaji wana wajibika kuleta matokeo. Hii mechi kupoteza italeta pia heshima na itamuondoa kocha kwenye lawama pindi akianza kuwasugulisha watu benchi.
Well noted
 
Ni sehemu ya mchezo na kujifunza pale unapofungwa muhimu, isiwe kama mazoea.
 
Afadhali matokeo yabaki hivi Makolo yarudi jukwaani maana walielekea kukimbia Jf mazima.
Ushaona shabiki wa Simba anakimbia?? Hahaha pole sana braza Uto...
 
Mm ni YANGA damu ila hii yanga ni genge la wahuni tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…