adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Makolo wenyewe ndio walikuwa wanaoongoza kwenye race malalamiko humu jukwaani hata vijiwe Yanga walikuwa wanachochea tu.Matokeo mabaya kwa Yanga kauli mbiu inakuwa ni sehemu ya mchezo.
Performance mbaya matokeo mazuri kwa Simba kauli mbiu ni Simba mbovu.
Tutaelewana tu