FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Matokeo mabaya kwa Yanga kauli mbiu inakuwa ni sehemu ya mchezo.

Performance mbaya matokeo mazuri kwa Simba kauli mbiu ni Simba mbovu.

Tutaelewana tu
Makolo wenyewe ndio walikuwa wanaoongoza kwenye race malalamiko humu jukwaani hata vijiwe Yanga walikuwa wanachochea tu.
 
Daima mbele nyuma mwiko
img_1_1695558741014~2.jpg
 
Back
Top Bottom