Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Dharau au kiwango?Dharau zikizidi ndiyo madhara yake makosa ya kujitakia kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dharau au kiwango?Dharau zikizidi ndiyo madhara yake makosa ya kujitakia kabisa
Skudu hamna kitu,anarkaruka tuSkudu anajua amapiano tu
Una utoto mwingiFull time yanga 1-1 ihefu
AhaaaaaaaaFull time yanga 1-1 ihefu
OverconfidenceDharau zikizidi ndiyo madhara yake makosa ya kujitakia kabisa
Ule mshutiiiiiiii ule dahaaaaaaaa
Inaweza ikawa mkuu mabadiliko yasipofanyikaUna utoto mwingi
Hiki kikosi hata mimi nilikitilia mashaka tangu mwanzo. Ili tupate ushindi; Skudu, Sure Boy, Moloko, Kibwana, na Mauya wanatakiwa wapumzishwe. Hakijabalance kabisa.Kikosi cha leo hiki mh
Kila la kheri mwananchi🟡🟢
Mmeanza lawamaaa Tena yanga Ni timu kubwa kila mtu anaweza kuanzaIhefu wanatumia nguvu sana, Halafu Gamondi anaanza na kina kibwana, Moloko, Skudu wachezaji wasio na nguvu[emoji848][emoji848]
Usinipangie cha kucomment sawa bwana uto ?Una utoto mwingi
Mauya unamsingiziaSure boy na Zawadi Mauya hawafanyi kazi yao vizuri