FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Mudathir na Aucho wanatakiwa waingie kipindi cha pili. Hapo kati viungo wamepotea kabisa
Sasa maana ya kikosi kipana ni ipi? Acha wacheze hao hao hadi mwisho, lazima wapewe nafasi kulinda vipaji vyao
 
Dharau zikizidi ndiyo madhara yake makosa ya kujitakia kabisa
 
Back
Top Bottom