FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Nimesikitika Sana...... Lawama kupewa Diarra eti Magoli Yote asingefungwa..Ufupi Umeigharimu timu...!

Watu wanasahau Mapema ,Kimo hiki hiki ndo kilituvusha mechi Dhidi ya Marumo na Zalani....!

Tuwe Watu wa shukurani na fadhila jama..!
 
FB_IMG_16964411222605857.jpg
 
Ili timu ifungwe lazima kuwe na makosa, Hakuna mchezaji asiye kosea. Kufungwa kwa Yanga ni sehemu ya matokeo ya soka na hakuondoi ubora wa Yanga wala Mwamnyeto.
 
Hebu acheni Unafiki na Kuchanganyikiwa Kwenu. Na tayari sasa Tobo liko wazi hivyo kila Mtu atapita tu

Kudadadeki.....!!
Kama kuna Mtu anamlaumu Mwamnyeto basi ni Zuzu. Goli la Kwanza kosa ni la Diara X2. Pasi iliyokwenda mbali na punching iliyodondosha mpira golini kwake
 
Hivi ndio tumefungwa au naota ndoto.
Hivi ni kwanini Kila siku tufungwe na ihefu.
Wao nani kwani
 
Back
Top Bottom