Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Kufungwa na Ihefu kumbe ni mafanikio?Leo hamna neno mtaacha kuongea [emoji23][emoji23] aah
Simba mmefarijika sana
Hata tulipokosa kombe hamkuponda kiasi hiki!!!
Mafanikio ya Yanga yanawauma wengi sana.