FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

Leo hamna neno mtaacha kuongea [emoji23][emoji23] aah
Simba mmefarijika sana
Hata tulipokosa kombe hamkuponda kiasi hiki!!!
Mafanikio ya Yanga yanawauma wengi sana.
Kufungwa na Ihefu kumbe ni mafanikio?
 
Hawa Ihefu mbona kama wanataka kutuzoea, Watafungwa na timu zote ila siyo Yanga, kama siyo uchawi ni nn?
 
Naona mayele katupia bao.la kusawazisha hapa
Aahaaaaa,Mayele yupo huku Kwa sasa
Screenshot_20231009-011636~2.png
 
Humu bado tupo sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom