FT: Jangwani kumenoga | CFFA 0-4 Yanga SC | CAFCL | Azam Complex | 17 Oktoba, 2026

Diarra toka afungwe na Simba hayuko sawa physiological,
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ chezea Maema na Mpanzu wewee.
Huyo maema na mpanzu walikuwa wapi tulipowafunga mara Sita mfululizo au hawakuwepo?
 
Miloud wa Misri walimpa mzigo mkubwa ndio maana akaondoka.
Mkuu sio kweli, kwanza ile timu haina pesa kuizidi Yanga. Lingine ni kwamba ukisikia interview ya meneja wa Miloud, alisema kuwa Miloud alikuwa kamaliza mkataba na walikuwa wanasubiri uongozi wa Yanga wakae nao chini kwaajili kumuongeza mkataba Miloud ila uongozi wa Yanga walikaa tu kimya. Tafuta ile interview usikilize
 
Asante yanga , hapa mnaonyesha siku ile hatukubonda na kunyonga kubwa jinga tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Yanga yupo imara zaidi , goal 4 huko kwenye video kunaedeleaje je wanacheza pira la ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ