FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | Meja Generali Isamuhyo stadium | Ligi kuu NBC | 10.2.2025

Aziz Ki afukuzwe kabisa Yanga, kijana kaanza ngono na mapenzi magoti na stamina imekwisha kabisa kazi kupanua mdomo tu uwanjani speed ndogo, afukuzwe haraka sana, afadhali hayuko leo
huoni azizi ki ni ndo kocha msaidizi anafukuzwaje
 
Wachezaji wa Yanga hawajamuelewa kocha kabisa.
Msimu mmoja makocha watatu, Ramovic pamoja na kutokukubalika na mashabiki ila alikuwa anashinda magoli mengi sana kwenye ligi kuu. Leo unaona kabisa timu ipo kama vile wachezaji wamekusanywa toka majumbani mwao
 
Kabisa wamechooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…