FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

FT: Jwaneng Galaxy 0 - 0 Simba | CAFCL | Francistown Stadium | 02.12.2023

Dah!....mwendo wa sare tu mwanzo mwisho.
 
Siwezi kukwambia wafanye hivi au wafanye vile...
Kabisa, wanachokifanya wapo sawa.
Ila tu ni kwamba hawa wamefika hapa kutokana na ubovu na uzembe wa timu walizokutana nazo hapo awali, na kama tunawapa pongesi basi tunawapa kutokana na ubutu wa forward za timu pinzani walizokutana nazo.
Matokeo ni matokeo mkuu, ukishavuka unapongezwa.

FT 0-0
 
Mnyama tunashinda hii ila na njaa.
Aahaaaaa
Screenshot_20231202-175323_AiScore.jpg
 
Walipokutana ugenini na Wydad AC huko Morocco, wenyeji hawakuamini kilichowatokea. Simba SC waonane na wazee kule Pemba au Bagamoyo kilingeni haraka sana

JWANENG GALAXY ACCUSED OF USING BLACK MAGIC, CAF CHAMPIONS LEAGUE, JWANENG VS WYDAD AC hivyo Simba SC wajiandae vilivyo

View: https://m.youtube.com/watch?v=0BTSFDhNMuU
 
Back
Top Bottom