Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, wanachokifanya wapo sawa.Siwezi kukwambia wafanye hivi au wafanye vile...
Matokeo ni matokeo mkuu, ukishavuka unapongezwa.Ila tu ni kwamba hawa wamefika hapa kutokana na ubovu na uzembe wa timu walizokutana nazo hapo awali, na kama tunawapa pongesi basi tunawapa kutokana na ubutu wa forward za timu pinzani walizokutana nazo.
AahaaaaaMnyama tunashinda hii ila na njaa.
draw ni ushindi ugeniniHaya Tumemaliza Kinyonge sana yani!!
Kwenye ball possesion hapo uongo Aisee mpira nimeuangalia wote mwanzo mwisho..
Simba walikuwa bora leo, ila ndio hivyo sasa.draw ni ushindi ugenini
Chukua kalamu ukabadilisheKwenye ball possesion hapo uongo Aisee mpira nimeuangalia wote mwanzo mwisho..
Itoshe kusema Simba wamewazidi galaxy
Wala🤣🤣🤣🤣🤣🤣kinyonge sanaa