NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ndio,kuifunga Simba ndo malengo ya Utopolo hayo awafikiri ubingwa wala kufanya vema kimataifa.Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili
2. FA
3. Mapinduzi
Waone sio wanapuyanga tu uwanjani.Yanga mmeona jinsi mechi za kimataifa zinavyochezwa
Mkuu ila mda mwingine kwenye football matokeo ni bora kuliko parten of playingBenchi lina kazi ya kufanya kwenye hiki kikosi mwaka huu
Mark my words
Enock.Nani anafaa kuwa man of the match kwa Simba?
Mwenye PhD alifanya nini?Hawa wacheza Makirikiri hakuna timu,wanafungwa na timu yenye kocha mwenye vyeti feki
Wangekutana Na Lile Genge La Wahuni WachacheFull time
Galaxy 0-2 Simba
Hawa jamaa siyo wabaya kivile..na wangekutana na Ile timu ya mbogamboga,mbogamboga(uto) wangekunywa goli nyingi Tu😁😁
Au wangepumzika nusu saa afu mechi ya marudiano wacheze huko huko ili kuwasaidia wasipate hasara mara mbili walau waokoe nauliTunawasubiri kwa Mkapa, kamati ya mapokezi mjiandae mapema airport