FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Mbona leo Mods hawaandiki magoli kwenye ubao wa matokeo
 
That simba was suicide squad bro

Haikuwa timu inayoridhika na matokeo kabisa hasa akikutana na mpinzani alie na soft team
 
Kushinda.....tena Away sio kitu Kidogo, Kongole Simba...!
Sasa nyie Utopolo Bakini na Msukule Wenu ukijitahidi kuwaanisha kuwa mna Timu nzuri Wakati mmetolewa Mzunguko Wa Awali CL Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…