FT: Jwaneng Galaxy 0 Simba SC 2

Nileteeni wapiga ramli na wachambuzi wetu hapa JF eti simba haitofanya vizuri champions league.Haya vyuma viwili huko
 
Nilijua tu, kelele za kufungwa na Yanga hazitakuwa na maana kama Simba itaenda makundi, mpaka hapa imeshaonekana wazi nani anaefikiria mbali zaidi, habari za kumfunga mtani ni ujima enzi za stone age.
 
Galaxy ningewashauri wasuse kuja tanzania kwenye mechi ya marudiano, au kama vipi waje afu watafanya organization na yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…