Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Huyo Laban huwa lazima aanzishe thread kama kumi, si kawaida yake kupotea hivi
Za kuhusu Simba lakini..hajawahi kuwepo kwny live updtatesHuyo Laban huwa lazima aanzishe thread kama kumi, si kawaida yake kupotea hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana kafanya dharau ya hali ya juu hata kama kuna mechi back to back lakini alitakiwa kwanza kufikiria mechi iliyopo kwa kupanga kikosi cha uhakika. Una Musonda, una Guede una Lomalisa, una Skudu, una Mudathir halafu unaweka wakina Mzize na Faridi Mussa na Kibabage wachezaji wa ovyo kabisa hata akili ya mpira hawana.Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Jana kafanya dharau ya hali ya juu hata kama kuna mechi back to back lakini alitakiwa kwanza kufikiria mechi iliyopo kwa kupanga kikosi cha uhakika. Una Musonda, una Guede una Lomalisa, una Skudu, una Mudathir halafu unaweka wakina Mzize na Faridi Mussa na Kibabage wachezaji wa ovyo kabisa hata akili ya mpira hawana.
Hamna kocha hapo.... Hajui hata timu inahitaji nini?, Hivi huyo mtoto sheikhan kweli anapewa nafasi kwa ubora gani?. Upepo wa Nabii umekataa Sasa anatembelea ringi.... Na mechi ya wajerajera tunafungwa.Jana kafanya dharau ya hali ya juu hata kama kuna mechi back to back lakini alitakiwa kwanza kufikiria mechi iliyopo kwa kupanga kikosi cha uhakika. Una Musonda, una Guede una Lomalisa, una Skudu, una Mudathir halafu unaweka wakina Mzize na Faridi Mussa na Kibabage wachezaji wa ovyo kabisa hata akili ya mpira hawana.
AiseeGamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Kumbe walishatuzoea vibaya hawa, leo tumewakanda kwao.β½οΈ Kagera Sugar Vs Young Africans SC
π 02.02.2024
π Kaitaba
π 10:00 Jioni
Mungu ibariki Yanga SC
Kikosi cha Yanga SC View attachment 2891853
Dakika ya 1
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
Dakika ya 17
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
Dakika ya 31
Kagera Sugar 0-0 Yanga.
ππππ ππππβ±οΈ| #NBCPremierLeague
Kagera Sugar 0-0 Young Africans SC
View attachment 2891895
Kipindi cha pili kimeanza sasa
Dakika ya 50
Bado ni 0-0
Dakika ya 57
Yanga wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili faridi Musa out musonda in na mzize out giede in
Dakika ya 65
Bado ni 0-0
Dakika ya 70
Bado ni 0-0
Dakika ya 80
Bado ni 0-0
Dakika ya 90 za niongeza ni 8
Bado ni 0-0
Full time
View attachment 2891966
Wamekufa kwaoKumbe walishatuzoea vibaya hawa, leo tumewakanda kwao.
Huyu utasikia anajiita mchambuzi, hovyoo kabisa.Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Una shida pahala C. ephen_Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Muacheni kocha afanye kazi yake.... heshimuni taaluma za watu.Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Uzi wa msimu uliopita na comment ya msimu uliopita huyo katoa.Muacheni kocha afanye kazi yake.... heshimuni taaluma za watu.