Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.