FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
 
Ujue unavyoongea..Wewe ni Nabii mtupu..!

Tumeshaikariri hii Komenti , Sasa tupe Location umekaa Wapi.?

Hata mimi Machale Yameanza Kunicheza...Ulichosema Kinaenda Kutokea..! Mungu Mnyaaazi Saidia..
 
Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Jana kafanya dharau ya hali ya juu hata kama kuna mechi back to back lakini alitakiwa kwanza kufikiria mechi iliyopo kwa kupanga kikosi cha uhakika. Una Musonda, una Guede una Lomalisa, una Skudu, una Mudathir halafu unaweka wakina Mzize na Faridi Mussa na Kibabage wachezaji wa ovyo kabisa hata akili ya mpira hawana.
 
Mwanangu unajua soccer hao watatu sio level za yanga kmmk kunywa kisungura cha baridi hapo kwa Mangi bili juu yangu [emoji23][emoji122]
 
Jana kafanya dharau ya hali ya juu hata kama kuna mechi back to back lakini alitakiwa kwanza kufikiria mechi iliyopo kwa kupanga kikosi cha uhakika. Una Musonda, una Guede una Lomalisa, una Skudu, una Mudathir halafu unaweka wakina Mzize na Faridi Mussa na Kibabage wachezaji wa ovyo kabisa hata akili ya mpira hawana.
Hamna kocha hapo.... Hajui hata timu inahitaji nini?, Hivi huyo mtoto sheikhan kweli anapewa nafasi kwa ubora gani?. Upepo wa Nabii umekataa Sasa anatembelea ringi.... Na mechi ya wajerajera tunafungwa.
 
Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Aisee
 
⚽️ Kagera Sugar Vs Young Africans SC
📆 02.02.2024
🏟 Kaitaba
🕖 10:00 Jioni
Mungu ibariki Yanga SC

Kikosi cha Yanga SC View attachment 2891853
Dakika ya 1
Kagera Sugar 0-0 Yanga.

Dakika ya 17
Kagera Sugar 0-0 Yanga.

Dakika ya 31
Kagera Sugar 0-0 Yanga.

𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #NBCPremierLeague

Kagera Sugar 0-0 Young Africans SC

View attachment 2891895
Kipindi cha pili kimeanza sasa
Dakika ya 50
Bado ni 0-0

Dakika ya 57
Yanga wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili faridi Musa out musonda in na mzize out giede in

Dakika ya 65
Bado ni 0-0

Dakika ya 70
Bado ni 0-0

Dakika ya 80
Bado ni 0-0

Dakika ya 90 za niongeza ni 8
Bado ni 0-0

Full time
View attachment 2891966
Kumbe walishatuzoea vibaya hawa, leo tumewakanda kwao.
 
Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Huyu utasikia anajiita mchambuzi, hovyoo kabisa.

Tumekutunzia comment yako.

Cc: wafukua makaburi kelphin
 
Gamond Kama atafika mwisho wa msimu niko pale nimekaa!.
Kariri Sana hii komenti, niliposema kuhusu dharau zake kwenye mashindano ya mapinduzi hamkunielewa Sasa mtaelewa... Una lomalissa nje unamuweka Andunje Kibabage ...!, Una musonda nje unamuanzisha Farid ambaye hafai kabisa kuwa sehemu ya kikosi Cha yanga. Nilipuuza ule usemi wa Gamond anatembelea nyota ya Nabii ila nimeamin Sasa!.
Una shida pahala C. ephen_
 
Muacheni kocha afanye kazi yake.... heshimuni taaluma za watu.
 
Back
Top Bottom