Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
And that's what happenedMungu hajibu Dua mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And that's what happenedMungu hajibu Dua mbaya
Mikimbio yake tu anaonesha ni Namba 9 hatare.Amefunga ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ushangae mkuu, au huyo jamaa atakuwa Simba kama sisi sio yanga yaani Mbappe wa Congo ni wakusema ana kiwango kibovu?Mzize na Max leo wamekuwa wabovu. Juzi tu mlikuwa mnamuita Mbappe wa bongo.
Kwa bahati mbaya mvua elnino ikanyesha na madhara ya moto hayakuonekanaWazee wa kupeleka Motoo!💚💛🔥
Sikuwahi kumsifia Mzize hata siku moja, Mzize ni mbahatishaji tu ubora hana na Max ameshuka mno kiwango.Mzize na Max leo wamekuwa wabovu. Juzi tu mlikuwa mnamuita Mbappe wa bongo.
Tank gani Mkuu?Hivi adhabu ya The Tank imeisha?
Kila la heri wananchi💚💛
Na ukimuangalia Mzize kwa ile red eyes unajua tu hii ChinaUkimuangalia guede tu unajua hii Mali .
Drogba alisema "chukueni Mali hiyo"
Yanga 4
Kagera 0
Guede kwa dakika alizocheza kaonesha ni mchezaji hatari, ila bahati mbaya kocha bado ana amini katika Mzize.GUEDE mtu na Nusu
Ila baada ya mechi furaha imeahamia msimbaziKila la heri WANANCHI.
Leo Yanga inacheza kila mtu ana furaha nchini.
At least hukusema mechi gani
Na imeisha hivyo hivyoMechi imeanza, Kagera 0 Yanga 0
Kwenye mechi zijazoUshindi ni muhimu. 💪
Uto ni wapiliMsimamo wa ligi ukoje wakuu?
Ukawasumbua hadi mods
🤣😁😁😁😁Ukawasumbua hadi mods
Tupe na msimamoNa ukimuangalia Mzize kwa ile red eyes unajua tu hii China
Huyo na mwenzake walitakiwa wawe brand ambassadors wa hiki kituHivi Mkude alisajiliwa timu gani?