FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

FT: Kagera sugar FC 0-0 Yanga SC | NBC premier League | Kaitaba stadium | 02.2.2024

Mzize na Max leo wamekuwa wabovu. Juzi tu mlikuwa mnamuita Mbappe wa bongo.
Ndio ushangae mkuu, au huyo jamaa atakuwa Simba kama sisi sio yanga yaani Mbappe wa Congo ni wakusema ana kiwango kibovu?
Mm ni mwanasimba na sijaangalia mechi yenyewe ila kwa hilo jamaa anasema uongo Nzengeli sio mchezaji wakuwa na kiwango kibovu
 
Hivi Mkude alisajiliwa timu gani?
Huyo na mwenzake walitakiwa wawe brand ambassadors wa hiki kitu

Screenshot_20240202-184615.png
 
Back
Top Bottom