Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Huku watu wanakuja kurelax siyo kupasuwana vichwa.Ninyi hili swala la utekaji mnalichukuliaje mm Napenda Mpira na yanga ni timu yangu ila sina amani kbsa nikiona watanzania wanzangu wanatekwa na kisha kupotezwa kusiko julikana, nachoka sna napatwa hasira sna natamni hz timu zote zitewa kimataifa
Mkiambiwa kuingia barabarani mnaufyata, dawa iendelee.