FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

Ninyi hili swala la utekaji mnalichukuliaje mm Napenda Mpira na yanga ni timu yangu ila sina amani kbsa nikiona watanzania wanzangu wanatekwa na kisha kupotezwa kusiko julikana, nachoka sna napatwa hasira sna natamni hz timu zote zitewa kimataifa
Huku watu wanakuja kurelax siyo kupasuwana vichwa.

Mkiambiwa kuingia barabarani mnaufyata, dawa iendelee.
 
Ile ilikuwa bonge la movement Aziz Ki amecheza vizuri sana ila Pacome kapiga kipuuzi.
Lawama zote zimuendee Dube maana yeye ndiye striker halisi lakini leo analeta upuuzi wa kosa kosa za magoli kama Mzize na Musonda.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tunatengeneza nafasi za wazi nyingi ila tunashindwa kuzitumia.
 
Mods tunaomba mtutolee huyu mtu .

Cc : Moderator
images (51).jpeg
 
Huku watu wanakuja kurelax siyo kupasuwana vichwa.

Mkiambiwa kuingia barabarani mnaufyata, dawa iendelee.
Kumbe Broo akili unaziamisha unaona ni sawa tuendelede kuteka na kupotezwa ooh Sawa ngoja hint ako yule atekwe utanikumbuka
 
Huku watu wanakuja kurelax siyo kupasuwana vichwa.

Mkiambiwa kuingia barabarani mnaufyata, dawa iendelee.
Kumbe Broo akili unaziamisha unaona ni sawa tuendelede kuteka na kupotezwa ooh Sawa ngoja hint ako yule atekwe utaniku
 
Mkuu embu tukumbushane zile tano mlizopigwa ubao ulisomaje kipindi cha kwanza? Au timu zote zilipigwa tano kumbukumbu yako inaonesha kipindi cha kwanza huwa matokeo yanakuwaje?
Muda utaamua tutulie
 
Back
Top Bottom