Yes. Aliona akiruka anaweza akaumia ikawa hasara zaidi kwa timu ya Simba. Hata mm nilimuona mkuu. Hii mbinu Utto hawawezi kuigundua na kuitumia kwenye mechi zao.Lile goli la Pili ukiangalia ni kama Camara aliliacha liingie makusudi tu maana alishajua points tatu ni zetu hivyo hakutaka kutumia nguvu tena
Magoli hayo ya hovyo yanatokana na Simba Sc kukosa center back anayejua kunusa hatari kwenye ukuta wake, nadhani anajulikana.Amewaachia tu we si umeona hata ambavyo alikuwa hajisumbui kunusa hatari
Tungekuwa tunaongoza kwa goli 1 ndio ungeona umakini wake
Muogope sana mtu anayedaka penati za CAF
watake wakat walikuwa wanarejeshewa mzg woteSimba walitaka bado
Pale Uto kuna kipa gani angeweza kudaka yale magoli ya Kagera?Ndio apigwe mbili kama komeni
Alistahili kuwa man of the matchChasambi aliyekuwa anakaangwa humu ni yule ambaye sehemu kama zile za kuachia mpira kwa wengine yeye anang'ang'ania kugunga mwenyewe.
Ni kama alivyokuwa Kibu kipindi kile yupo obsessed kufunga alikaangwa sana, ila sasa nani anamkaanga.?
CHASAMBI kacheza vizuri leo.
Magoli ni magoli tu na kufungwa ni kufungwa tu,,sema Kagera Wana shida kubwa kwenye eneo lao la mwisho maana kwa nafasi walizopata Kagera tungeshuhudia magoli mengi leoPale Uto kuna kipa gani angeweza kudaka yale magoli ya Kagera?
Tuanze na yule kipa wenu aliyedaka mpira wa goli la 2 kama anaoga mtoni kwa kutumia mikono akiwa amechuchumaa.
Akili za mbumbumbu ni habari nyingine,,ubao unasoma 5-2 na Kagera wameangushwa na umakini wao mdogo pale kwenye umaliziaji vinginevyo mshukuru mungu,,Amewaachia tu we si umeona hata ambavyo alikuwa hajisumbui kunusa hatari
Tungekuwa tunaongoza kwa goli 1 ndio ungeona umakini wake
Muogope sana mtu anayedaka penati za CAF
Mpira hauko hivyo maana ni mchezo wa makosa na usahihi, kama kila team ingekuwa inahesabu magoli kwa nafasi ilizokosa matokeo yangekuwa kama yale ya mpira wa kikapu.Magoli ni magoli tu na kufungwa ni kufungwa tu,,sema Kagera Wana shida kubwa kwenye eneo lao la mwisho maana kwa nafasi walizopata Kagera tungeshuhudia magoli mengi leo
Assist tatu mechi mojaCredit kwa Chasambi, hakuwa mchoyo
Mpira hauko hivyo maana ni mchezo wa makosa na usahihi, kama kila team ingekuwa inahesabu magoli kwa nafasi ilizokosa matokeo yangekuwa kama yale ya mpira wa kikapu.Magoli ni magoli tu na kufungwa ni kufungwa tu,,sema Kagera Wana shida kubwa kwenye eneo lao la mwisho maana kwa nafasi walizopata Kagera tungeshuhudia magoli mengi leo
Kwa akili zako hizo nyingi, hebu fanya hesabu za magoli ya wazi waliyokosa Simba Sc, Kagera ndio ashukuru Mungu kufungwa hizo chache.Akili za mbumbumbu ni habari nyingine,,ubao unasoma 5-2 na Kagera wameangushwa na umakini wao mdogo pale kwenye umaliziaji vinginevyo mshukuru mungu,,
Kama Kipa wa Kagera ilifika hatua akaushika mpira na kuulaani. Kwanini usimpongeze Musa Camara kwa kazi aliyoifanya?Magoli ni magoli tu na kufungwa ni kufungwa tu,,sema Kagera Wana shida kubwa kwenye eneo lao la mwisho maana kwa nafasi walizopata Kagera tungeshuhudia magoli mengi leo
Pamoja na ayo nasema Kagera Wana shida kwenye eneo lao la mwisho,,Ukitaka kulinganisha wachezaji wa Simba na Kagera ni vitu viwili tofauti ndio maana naiangalia Kagera kwa nafasi walizotengeneza dhidi ya timu inayowazidi uwezo kwa mchezaji Mmoja mmojaMpira hauko hivyo maana ni mchezo wa makosa na usahihi, kama kila team ingekuwa inahesabu magoli kwa nafasi ilizokosa matokeo yangekuwa kama yale ya mpira wa kikapu.
Ukitaka kuhesabu nafasi zilizopotea, habu hesabu na zile za Simba Sc halafu uniambie ilitakiwa kuwa na magoli mangapi
Kwa muktadha wako, nitakuwa sahihi nikisema Yanga Sc amshukuru sana Mungu kushinda goli 3-2 dhidi ya Mashujaa nitakuwa sawa.?Pamoja na ayo nasema Kagera Wana shida kwenye eneo lao la mwisho,,Ukitaka kulinganisha wachezaji wa Simba na Kagera ni vitu viwili tofauti ndio maana naiangalia Kagera kwa nafasi walizotengeneza dhidi ya timu inayowazidi uwezo kwa mchezaji Mmoja mmoja