FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

FT: Kaizer Chiefs 4-0 Simba SC | Klabu Bingwa Afrika CAFCL | FNB Stadium

Kikosi
IMG-20210515-WA0020.jpg
 
Morisson imekuwaje mbona hayupo kabisa?
Mimi binafsi BM namkubali kama mchezaji mzuri lakini kwenye mechi sensitive kama hizi akikosekana nafurahi.
Kwasababu yule bwana midevu kumpiga ngumi refa ama mchezaji bila sababu yeyote ni kugusa tu,au anaweza akafanya tukio ambalo sio la kiuwana michezo akiwa uwanjani kwenye mechi muhimu kama hii na akaigharimu timu.
 
Unaweza nitumia file uliyofanyia configuration Kama hutojal... File uliyo import kama umetumia hiyo process
Ona

hapa sina mb hata 1 lakini niko natumia ujanja napata data kwa speed ya 4G.

View attachment 1786101

Karibu katika ulimwengu wa hacking 🛠️🛠️🛠️
View attachment 1786102
Kazi yangu ni kubonyeza add time na kutazama adds kidogo.

Hii ni milele hakuna kukununua data...
 
Unaweza nitumia file uliyofanyia configuration Kama hutojal... File uliyo import kama umetumia hiyo process
It means data zitahama kutoka kwangu kuja kwako
Mm sitakuwa na uwezo tena wa kupata free data
 
Bwalya kuwa MotM

Namuona akitawala dimba mithili ya Iniesta katika ubora wake.
 
Back
Top Bottom