njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,795
Jaman tunaomba link
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ndio kujiandaa,huu ni ujingaHii ndio hasara ya kutocheza mchezo wowote kwa wiki 2, tumepoteza match fitness na tumeanza bado tupo usingizini
Sio kwamba wamekutana na wajuviBeki ya Simba imezubaa sana
Ni ujinga sana, hao Kaizer wamecheza mechi 2 siku 7 zilizopita ndio maana wanaonekana wako sharp kwenye kila kitu.Eti ndio kujiandaa,huu ni ujinga